A.T.T. Center
Msaidizi wako wa mali katika jamuhuri ya Kenya
Je unatafuta mali ya kununua au ya kukodisha? Angalia wavuti wetu kuna orodha tofauti za mali. Ikiwa unapendelea mali, tafadhali wasiliana nasi. Maelezo na picha ni mazuri, lakini ubora zaidi ni kujadiliana binafsi ama kujionea mwenyewe mali.
Ikiwa hautaona pendeleo zuri, tafadhali usiogope kutuuliza. Tuko na mali za aina nyingi sana, na tunapata kila mara mali mpya – inawezekana kuwa hatujazichapisha. Na mali zingine hatuzichapishi kwa sababu tumewawekea wateja wetu muhimu. Tafadhali wasiliana nasi ili tukuweke katika orodha ya wateja wetu. Tutagundua mali itakayo kupendeza.
Tafuta mali
|